"Azam walitufunga kwasababu tulikuwa na mawazo ya Mamelodi, leo tunajilipua" - Gody Yanga
Sisti Herman
June 2, 2024
Share :
Kuelekea mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB itakayowakutanisha klabu ya Yanga na Azam, Shabiki wa Yanga maarufu kama Gody Yanga kwenye mahojiano na mwandishi wa PM TV Petro Mzigu amefunguka mengi kuhusiana na mchezo huo
Gusa video hapa chini kumsikiliza