pmbet

Azam wamtambulisha ndugu yake Pacome

Sisti Herman

January 9, 2025
Share :

Klabu ya Azam imemtambulisha rasmi mchezaji Zouzou Landry raia wa Ivory Coast anayetokea klabu ya AFAD Djekanou ya nchini humo kuwa mchezaji wao mpya.

Zouzou mwenye umri wa miaka 23 anamudu kucheza beki ya kati na beki ya kushoto, amesaini mkataba wa miaka minne, utakaomfanya kudumu kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2028.

Mchezaji huyo amefanana ubini wa jina na nyota wa Yanga Pacome Zouzou ambaye pia ni raia wa Ivory Coast.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet