Azam wanamtaka Mzize kweli
Sisti Herman
April 18, 2024
Share :
Klabu ya Azam kupitia kwa afisa habari wake Hasheem Ibwe imethibitisha kuwa wametuma ofa nzito kuhitaji huduma ya mshambuliaji kinda wa klabu ya Yanga Clement Mzize kuziba pengo lililoachwa wazi na Prince Dube.
Ibwe ameyasema hayo jana baada ya mchezo wao dhidi ya mashujaa ulioisha kwa suluhu wakati akifafanua kuhusu tetesi zinazoendelea mtandaoni.
Je Mzize akienda Azam atacheza?