Azam yamnyatia Mayele
Sisti Herman
March 14, 2024
Share :
Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga Fiston Mayele yupo kwenye rada za waoka mikate Azam Fc ambao wanasaka mbadala wa mshambuliaji wao kinara Prince Dube ambaye ameomba kuvunja mkataba na kuaga kweye klabu hiyo.
Wakati Azam wanamnyatia Mayele, tetesi kutoka vyanzo tofauti zainaeleza kuwa Yanga wapo mbioni kukamilisha usajili wa Prince Dube.
Je nani atakuwa amelamba dume?