Azam yamsaijili kipa kutoka Sudan
Sisti Herman
December 31, 2023
Share :
Azam Fc imefikia makubaliano na klabu ya El Merreikh, ya kumsajili kipa wao wa kimataifa wa Sudan, Mohamed Mustafa, kwa mkopo wa miezi sita.
Azam Fc imelazimika kufanya usajili huo ili kuziba pengo lililoachwa na makipa wao Idrissu raia wa Ghana na Ali Ahmada raia wa Comoro ambao wmepata majeraha yaliyopelekea kwenda kufanyiwa upasuaji nje ya nchi.