Azam yashusha mshambuliaji kutoka Colombia
Sisti Herman
December 28, 2023
Share :
Azam Fc imekamilisha usajili wa mshambuliaji Franklin Navaro raia wa Colombia mwenye umri wa miaka 23.
Navarro mwenye umri wa miaka 24 na mwaka huu amecheza Ligi daraja la kwanza Primera B nchini Colombia amefunga bao moja na kutoa assist mbili hii ni katika mechi 14 huku akiwa amepata kadi za njano nane (8)
Navarro amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia Azam FC