pmbet

Aziz Ki MVP wa ligi kuu, Azam ikitoa kocha bora Machi

Sisti Herman

April 2, 2024
Share :

Kamati ya tuzo ya shirikisho la soka nchini (TFF) imemteua mchezaji wa Yanga Stepane Aziz Ki kuwa mchezaji bora wa mwezi wa tatu huku kocha wa Azam Fc Bruno Ferry akichaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi huo.

Katika mwezi huo Aziz Ki ameisaidia Yanga kushinda mechi nne tatu kati ya nne huku akifunga mabao matatu na kusaidia mengine manne.

Pia Bruno Ferry ameisaidia Azam kushinda mechi mbili kati ya tatu ilizocheza.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet