pmbet

Aziz Ki na Diarra wang'ara Afcon

Sisti Herman

January 17, 2024
Share :

Timu za taifa za Mali na Burkinafaso wanazocheza wachezaji wanaocheza ligi kuu Tanzania bara Stephanie Aziz Ki na Djigui Diarra wote wa Yanga, zimeanza vyema kampeni za hatua ya makundi ya kombe la mataifa (AFCON) baada ya zote kupata matokeo ya ushindi.

 

Burkinafaso wao walishinda dhidi ya Mauritana kwa bao 1-0 huku Aziz Ki akiwakilisha vizuri ligi kuu Tanzania kwa kucheza dakika 85 akicheza kama kiungo mshambuliaji wa kati.

 

Mali wao walishinda dhidi ya Afrika Kusini kwa bao 2-0 huku Diarra akiwakilisha vizuri ligi kuu Tanzania kwa kucheza dakika zote za mchezo na kutoka na hati safi (clean sheets).

 

Leo pia ni siku nyingine kwa uwakilishi wa ligi ya Tanzania kwa wachezaji wanaocheza timu za Taifa za Tanzania, Congo DR na Zambia.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet