pmbet

Baada ya dogo kutangaza kustaafu soka ili aoe, mwanamke amuacha

Eric Buyanza

June 22, 2024
Share :

Kinda wa Somalia Abdihafid Mohamed Abdi, aliyeukwaa uchezaji bora wa Ligi ya wachezaji wenye umri wa chini ya miaka 17 (U17), ametangaza KUSTAAFU soka kwa sababu mwanamke anayetaka kumuoa hataki afanye kazi hiyo na hivyo kupewa sharti la kuacha mpira ili waweze kuoana.

Habari mbaya ni kwamba baada ya kinda huyo mwenye umri wa miaka 16 kutangaza hadharani kustaafu, msichana huyo amemuacha na kwenda kwa mwanaume mwingine.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet