pmbet

Baada ya kuachwa na Simba, Saido apata ofa kurejea kivingine Ligi kuu

Eric Buyanza

June 29, 2024
Share :

Siku chache baada ya kutemwa na Simba, nyota wa kimataifa wa Burundi, Saido Ntibazonkiza inadaiwa yupo mbioni kurejea nchini kukipiga na moja ya timu za Ligi Kuu Bara. 

Awali ilielezwa Saido alikuwa akihitajika Rwanda, lakini upepo umebadilikla baada ya Coastal Union, Namungo, Pamba, Ken Gold pamoja na Dodoma Jiji zikitajwa kumpelekea ofa akiwa mapumzikoni.
NMG

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet