pmbet

Baada ya kufuzu makundi, Azam FC waanza kunyanyua vitu vizito

Eric Buyanza

October 26, 2026
Share :

Baada ya kikosi cha Azam FC kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya ZED ya nchini Misri na kufuzu Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Aftika, timu hiyo imerudi mazoezini na nguvu mpya na kunyanyua vitu vizito.

Kikosi hicho kinajiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City utakaochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet