pmbet

Baada ya kumnasa Mbappe, Madrid wamgeukia mdogo wake

Sisti Herman

February 21, 2024
Share :

Jarida la michezo la Le Parisien la nchini Ufaransa limesema kuwa baada ya klabu ya Real Madrid kumaliza mazungumzo na nyota wa PSG anayemaliza mkataba wake Kylian Mbappe, vigogo hao wa Ulaya sasa wamemgeukia mdogo wake Mbappe, Ethan ambaye yupo pamoja na Mbappe kwenye timu ya wakubwa ya PSG.

 

Licha ya taarifa hizo, kocha wa PSG Luis Enrique amethibitisha kuwa wana imani kinda huyo mwenye umri wa miaka 17 ataendelea kusalia PSG.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet