"Baada ya kwenda Nigeria, nimegundua maisha Marekani ni mazuri" - 50 Cent
Eric Buyanza
February 20, 2024
Share :
"Maisha yangu yote sijawahi kuona kitu kibaya kama maeneo ambayo dereva alitupeleka. Sahau kuhusu miradi ya nyumba ambazo lifti hazifanyi kazi, hakuna AC, hakuna umeme wa uhakika....... yaani sisi tunayoyaita mateso wao wanayaona anasa kwao." - 50 Cent