Baada ya ushindi wa Yanga Mh. Mwana FA atoa neno
Eric Buyanza
December 21, 2023
Share :
Baada ya ushindi wa jana wa Yanga dhidi ya Medeama, wakati anakabidhi kibunda cha magoli cha Rais Samia (shilingi milioni 15), Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Khamis Mwinjuma (Mwana FA) alitoa neno.
Unataka kujua alisema nini, tazama video hapo chini;