pmbet

Baadhi ya maeneo kukatiwa Umeme Dar - Tanesco

Sisti Herman

July 28, 2024
Share :

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewatangazia Wateja wake wa Mkoa wa Dar es salaam kuwa kuna katizo la umeme katika maeneo yao ambapo baadhi ya maeneo yamekosa umeme kuanzia saa 5 asubuhi hii hadi saa 8:30 mchana wa leo Julai 28,2024.

Sababu ni kuwezesha kituo cha Ubungo ili kiweze kuhudumia Wateja wote wa Dar es salaam na Zanzibar kwa kuweka uwiano sawa wa mahitaji kwenye laini za 220kV Ubungo-Kinyerezi na ile ya 220kV Chalinze-Luguruni-Ubungo.

TANESCO imesema taarifa hiyo imeanza kutolewa jana na kuwekea msisitizo leo ambapo imesema “Shirika linawashukuru Wateja wake kwa ushirikiano katika kipindi chote ambacho huduma ya umeme itakosekana”

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet