Baba mzazi wa nahodha wa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta amefariki dunia leo asubuhi.Mzee Samatta amefariki dunia katika Hospital ya Kilwa Road Jijini Dar es Salaam