Baba zao wapanga kuachia ngoma ya pamoja
Eric Buyanza
June 19, 2025
Share :
Mwanamuziki wa Bongofleva baba nono #Kusah amefunguka kufanya kazi ya pamoja na baba naya #billnass yeye mwenyewe Kusah akimchukulia kama Moja ya Rapa kutoka Bongo mwenye Hit song nyingi, sauti Kali mwenye kujua kutembea na midundo yote huku mistari yake ikiwa imenyooka.
Ngoma ya #REWIND #Kusah amepanga Kuiachia Juni 20 ijumaa hii ikiwa na midondoko ya Ki Hip-Hop tofauti na ambavyo kusah amezoeleka na mashabiki zake kwa midondoko ya Kuyaimba Mapenzi ipasavyo.
#bessy_bernie