pmbet

Bajaber na Duke Abuya waitwa timu ya Taifa ya Kenya.

Joyce Shedrack

March 14, 2026
Share :

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars,Benni McCarthy ametangaza kikosi rasmi kitakachoshiriki mashindano ya FIFA Series 2026, huku akiwajumuisha nyota wawili wanaokipiga katika Ligi Kuu ya soka nchini Tanzania Bara.

Harambee Stars player Duke Abuya crowned Tanzania Premier League player of  the month

Katika orodha hiyo, kiungo fundi wa Young Africans, Duke Abuya, na mshambuliaji chipukizi wa Simba Mohammed Bajaber, wamejumuishwa katika kikosi hicho.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet