BAKITA Yampa shavu Rais wa Yanga.
Joyce Shedrack
April 11, 2026
Share :
Bodi ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA), imemteua Rais wa Klabu ya Yanga SC Mhandisi Hersi Said kuwa Balozi wa Kiswahili ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Mhandisi Hersi atakuwa miongoni mwa Mabalozi watatu wa BAKITA ambao ni Mama Salma Kikwete na Jorum Mkumbi.





