pmbet

Balozi Yakubu amtembelea Rais wa Comoro

Sisti Herman

July 15, 2025
Share :

 

Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu, akiwa katika mazungumzo na Rais Azali Assoumani wa Comoro.

Katika mazungumzo hayo, Rais Azali Assoumani amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa ziara yake nchini Comoro pamoja na maelezo mazuri kwa wananchi na Serikali ya nchi hiyo.

Akiwa katika ziara yake nchini Comoro, Rais Samia aliahidi kushirikiana na Serikali ya Rais Azali Assoumani katika kuimarisha sekta ya afya pamoja na kueneza matumizi ya lugha ya Kiswahili.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet