Banda anukia Singida
Sisti Herman
December 19, 2023
Share :
Klabu ya Singida Fountain Gate Fc ipo kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa Nyasa Big Bullets na timu ya Taifa ya Malawi Peter Banda kwaajili ya kumsajili kwenye dirisha dogo lililofunguliwa desemba 15.
Winga huyo wa zamani wa Simba anadaiwa kuwagharimu Singida dola za kimarekani 80,000 (Tsh milioni 200) ambayo Singida watalipa kwa awamu 2 tofauti.