pmbet

Barca yaondolewa Uefa, Xavi akerwa na waamuzi

Sisti Herman

April 17, 2024
Share :

Klabu ya Barcelona ya Hispania jana usiku imeondolewa kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya baada ya kuchapwa na klabu ya PSG ya Ufaransa kwa magoli 4-1 huku kocha wao mkuu Xavi Hernandez akilia na maamuzi mabaya ya mwamuzi wa mchezo huo.

"Nimemwambia mwamuzi kuwa alikua janga kwetu, ni aibu kuondolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kwasababu ya makosa ya waamuzi" alisema Xavi baada ya mchezo.

Xavi aliondolewa kwenye benchi kwa kadi nyekundu baada ya kufoka kwa mwamuzi wa akiba baada ya kutoridhishwa na maamuzi.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet