Barcelona na Bayern Munich kwenye vita ya kumgombea Silva
Eric Buyanza
May 3, 2024
Share :
Kocha wa klabu ya Barcelona ya nchini Hispania, Xavi, ameiambia klabu hiyo kwamba anatamani kufanya kazi na kiungo wa kati wa Manchester City na Ureno Bernardo Silva na hivyo wajipange kumletea.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 pia anawaniwa na Bayern Munich.