pmbet

Barcelona ni klabu ambayo 'Ndoto za watu hutimia' - Rashford

Eric Buyanza

July 24, 2025
Share :

Marcus Rashford amesema anahisi yuko nyumbani baada ya kukamilika kwa uhamisho wake wa mkopo kutoka Manchester United kwenda Barcelona huku akisema Barcelona ni klabu ambayo "ndoto hutimia."

"Nimefurahi sana, ni klabu ambayo ndoto za watu hutimia, wanashinda zawadi kubwa na kile ambacho klabu inasimamia kina maana kubwa kwangu pia," alisema Rashford alipohojiwa jana na Barça TV.

"Najisikia kama niko nyumbani, na hii ni sababu kubwa ya mimi kuja hapa kwa sababu kwangu ni klabu ya familia, hapa na ni mahali pazuri kwa ajili ya kuonyesha ujuzi."
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet