pmbet

Barcelona waiambia Manchester City 'Pedri Hauzwi'

Eric Buyanza

April 1, 2025
Share :

Barcelona wameeleza kuwa kiungo wao Pedro González López (Pedri), mwenye umri wa miaka 22, hayupo sokoni licha ya uvumi kuenea kwamba Manchester City wanamtaka kama mbadala wa Kevin De Bruyne. 

Hata hivyo mpaka sasa Barcelona haijapokea ofa yoyote kutoka kwa City ingawa fununu zinasema klabu hiyo ya Uingereza imeandaa Euro Milioni 100 kwa ajili ya kumpata mchezaji huo.

Taarifa kutoka vyombo vya habari vya Hispania zinasema Barcelona haina mpango wa kumuuza mchezaji huyo na inaweza kukataa ofa yoyote itakayoletwa mezani.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet