Barcelona yachezea kichapo cha aibu dhidi ya Atletico Madrid.
Joyce Shedrack
February 13, 2026
Share :
Klabu ya Barcelona imepoteza mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza ya Copa Del Rey kwa magoli 4-0 dhidi ya Atletico Madrid katika dimba la Riyadh Air Metropolitano.
Barcelona itahitahitaji kupindua matokeo hayo katika mchezo wa Nusu Fainali ya pili itakayopigwa katika dimba la Camp Nou March 3 ili iweze kufuzu fainali.





