Barcelona yapata pigo Raphinha nje wiki tano.
Joyce Shedrack
March 28, 2026
Share :
Klabu ya Barcelona imetoa taarifa rasmi kuwa mshambuliaji wao Raphinha atakuwa nje kwa wiki 5 baada ya kupata jeraha kwenye mchezo wa kirafiki akiwa na Timu yake ya Taifa ya Brazil.

Raphinha anaenda kuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya mwezi mmoja huku akiikosa michezo muhimu ya kuamua hatma ya timu yake kunyanyua makombe mwishoni mwa msimu.
Mechi atakazozikosa
❌ Atlético Madrid (La Liga)
❌ Atletico Madrid (UCL)
❌ Espanyol (La Liga)
❌ Atlético Madrid (UCL)
❌ Celta Vigo (La Liga)
❌ Getafe (La Liga)
❌ Potential UCL semi finals
❌ Osasuna (La Liga)





