pmbet

Bassirou Diomaye Faye aapishwa na kuwa Rais wa tano wa Senegal

Eric Buyanza

April 2, 2024
Share :

Bassirou Diomaye Faye ameapishwa Jumanne hii Aprili 2, 2024, kuwa Rais wa tano wa Senegal akimrithi Macky Sall, aliyekuwa rais wa nchi hiyo toka mwaka 2012 hadi 2024. 

HAYA NDIYO MANENO YAKE ALIPOKUWA AKIAPA

"Mbele ya Mungu na mbele ya Taifa la Senegali, ninaapa kutimiza kwa uaminifu majukumu ya rais wa Jamhuri ya Senegal, kuheshimu na kuzingatia kwa uangalifu masharti ya Katiba na sheria," amesema, akiinua mkono wa kulia mbele ya mamia ya maafisa wa Senegal na wakuu saba wa nchi za Afrika katika Kituo cha Maonyesho katika mji mpya wa Diamniadio, karibu na Dakar.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet