pmbet

Bayer Leverkusen msimu huu, mechi 40 bila kufungwa wakitinga fainali ya DFB Pokal

Sisti Herman

April 4, 2024
Share :

Mara baada ya kushinda mchezo wa nusu fainali ya DBF Pokal, kombe la Ujerumani, klabu ya Bayer Leverkusen inayonolewa na kocha kijana Xabi Alonso imetinga fainali ya mashindano hayo na kuendeleza rekodi ya kipekee ya kutopoteza mchezo wowote msimu huu.

Leverkusen ambao ambao hadi sasa wamecheza mechi 40 za amshindano yote wanaongoza ligi kuu Ujerumani Bundesliga hadi sasa, wapo hatua ya mtoano ya Europa League na watacheza fainali ya DBF Pokal kwenye dimba la Olimpiastadion jiji Berlin dhidi ya Kaiserslauter.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet