pmbet

Bayern Munich na Ajax kwenye ushindani mzito kumuwania Erik Ten Hag

Eric Buyanza

May 20, 2024
Share :

Bayern Munich na Ajax wanaendelea kupigania sahihi ya Erik ten Hag, wakiwa na imani kwamba atafutwa kazi kama meneja wa Manchester United mwishoni mwa msimu.

Munich wanatafuta mrithi wa Thomas Tuchel baada ya kocha huyo wa zamani wa Chelsea kuthibitisha kuwa ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu baada ya mazungumzo ya kumshawishi kubakia kuvunjika. 

Kwa upande wa Ajax wanataka kumrudisha Ten Hag jijini Amsterdam baada ya Graham Potter (kocha wa zamani wa Chelsea) kukataa ofa ya kwenda kufanya kazi jijini Amsterdam.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet