pmbet

Bayern Munich wamtegea mitego nahodha wa Arsenal, Martin Odegaard

Eric Buyanza

November 4, 2026
Share :

Miamba ya soka ya Ujerumani, Bayern Munich, imeanza mikakati ya chinichini ya kufanikisha kumnasa nahodha na kiungo mbunifu wa Arsenal, Martin Ødegaard (27). Hatua hii inakuja huku kukiwa na ripoti kwamba mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya klabuni hapo bado hayaeleweki.
 

Kwa mujibu wa uchambuzi ulioandikwa kwenye mtandao wa mashabiki wa Bayern wa Bavarian Football Works, uongozi wa Bayern umekuwa ukipiga hesabu za muda mrefu juu ya kiungo huyo wa kimataifa wa Norway na wameendelea kudumisha mawasiliano ya chini kwa chini na wasimamizi wake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet