pmbet

Bayern wanamuona Zidane kama chaguo la kwanza kumrithi Tuchel

Eric Buyanza

February 20, 2024
Share :

Bayern Munich wanaripotiwa kufikiria uwezekano wa kumchukua Zinedine Zidane au Ole Gunnar Solskjaer kurithi mikoba ya kocha Thomas Tuchel....hata hivyo inaelezwa Zinedine Zidane anabaki kuwa chaguo la kwanza la wababe hao wa Bundesliga.

Tuchel anapata shinikizo kubwa baada ya msururu wa matokeo mabaya ambayo yameiweka timu yake nyuma kwa pointi nane dhidi ya Bayer Leverkusen iliyojishindilia kileleni. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet