Bei ya kuunganisha umeme kwa Shilingi 177,000 ilifutwa, sasa ni Shilingi 27,000
Eric Buyanza
May 27, 2024
Share :
Serikali imesema gharama za kuuganisha umeme vijijini kwa Sh 177,000 kwa Shirika la Umeme (Tanesco) ilifutwa na sasa ni Sh 27,000 sawa na REA.
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa kauli hiyo bungeni leo tarehe 27/05/2024