pmbet

Beki huyu hapa unampata bure kabisa sokoni, Konate aaga Liverpool

Sisti Herman

May 29, 2026
Share :

 

Baada ya mazungumzo ya kusaini mkataba mpya kati ya beki wa kati raia wa Ufaransa Karim Konate na timu yake ya Liverpool kukwama, mchezaji huyo ametangaza hadharani kuondoka mwishoni mwa msimu huu klabuni hapo.

 

Konate anatajwa kuwaniwa na timu vigogo kama Real Madrid na Manchester United

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet