pmbet

Beki Mtanzania kuwavaa Man City

Sisti Herman

December 4, 2024
Share :

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Haji Mnoga ameisaidia timu yake ya Salford City kupata ushindi wa magoli 2-0 katika mchezo wa Ligi ya Pili (League Two) ya Uingereza dhidi ya Harrogate Town FC.

Salford City imepengwa kucheza na klabu ya Manchester City kwenye mchezo wa raundi ya tatu ya kombe la FA.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet