pmbet

Bellingham afugiwa UERO kisa kutusi

Sisti Herman

July 5, 2024
Share :

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa Uingereza Jude Bellingham amefungiwa kucheza mchezo mmoja na kupigwa faini ya Euro 25, 406 (zaidi ya Tsh 86 Milioni) baada ya kuonyesha ishara zinazoenda kinyume na maadili katika robo fainali ya Kombe la Mataifa Ulaya (Euro 2024) dhidi ya Slovakia.

Bellingham alianza kuchunguzwa na Shirikisho la soka Ulaya (UEFA) baada ya ishara tata aliyoishesha akishangilia goli lake alilofungwa kwa staili ya 'Acrobatic' na kusaidia Uingereza kusawazisha dakika za jioni kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Slovakia, mchezo ambao Uingereza walishinda 2-1.

Kufungiwa huko mchezo mmoja hakulazimishi Bellingham kukosa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Uswizi kesho kwani ni hukumu ambayo inapswa kutyekelezwa ndani ya mwaka mmoja. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet