pmbet

Bellingham ashiriki uzinduzi wa ujenzi wa uwanja mpya Birmingham City

Sisti Herman

November 21, 2025
Share :

 

Birmingham City jana ilizindua mipango ya kujenga uwanja wa viti 62,000, mradi unaogharimu angalau pauni bilioni 2.5 (dola bilioni 3.2).

Uwanja unaopendekezwa wa Birmingham City Powerhouse ungekuwa na bomba 12 kubwa za moshi na kujengwa katika Bordesley Park, Birmingham Mashariki, kwa wakati wa msimu wa 2030-31.

Jude Bellingham staa wa zamani wa timu hiyo alishiriki uzinduzi wa mpango huo huku akitoa kauli ya kushangazwa na sanaa iliyotumika kwenye ubunifu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet