Bellingham atwaa tuzo ya Laureus
Sisti Herman
April 23, 2024
Share :
Ikiwa imepita siku 1 tu tangu aisaidie klabu yake ya Real Madrid kufunga goli muhimu la ushindi wa 3-2 mbele ya watani na washindani wao Barcelona kwenye mchezo wa El Clasico, kiungo mshambuliaji wa Real Madrid Jude Bellingham jana usiku ametwaa tuzo ya mwanamichezo bora wa kiume duniani ya Laures Sports Awards.
Hadi sasa msimu huu Bellingham ametwaa tuzo tatu mfululizo alizoshindania, ambazo ni;
1. Golden Boy
2. Kopa Trophy
3. Laureus
Je unaona mwaka wa aina gani kwa kinda huyu?