pmbet

Bellingham ni mchezaji wa kuamua matokea kwa Uingereza - Henderson

Eric Buyanza

June 15, 2026
Share :

Jordan Henderson amesema anaamini kuwa kiungo Jude Bellingham ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee anayeweza kuamua matokeo kwa Uingereza kwenye Kombe la Dunia.
 

Hili limekuja baada ya kuonekana kama kuna upinzani mkubwa na mjadala mkali kwenye kambi ya timu hiyo huko Kansas City unaohusu ni yupi anayefaa kuanza kama kiungo mshambuliaji (namba 10) kati ya Bellingham au Morgan Rogers katika mchezo wao dhidi ya Croatia utakaofanyika Jumatano ya wiki hii.
 

Hata hivyo baadhi ya wadau wa soka wanaona Jude Bellingham bado ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kuanza kwenye mchezo huo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet