pmbet

Benjamin Sesko anapiga chenga kama za Ryan Giggs - Cascarino

Eric Buyanza

June 10, 2024
Share :

Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Tony Cascarino amemsifu mchezaji wa RB Leipzig ya Ujerumani, Benjamin Sesko ambaye amekuwa akihusishwa kuhamia jijini London kunako klabu ya Arsenal, akimlinganisha na gwiji wa Manchester United Ryan Giggs na mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland.

Kwenye kipande kimoja cha mahojiano na talkSPORT Cascarino alisikika akisema:

"Benjamin Sesko anafananishwa na Haaland, lakini ukimtazama akicheza anapiga chenga kama za Ryan Giggs.”

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet