Bernado awekewa mezani pauni milioni 51 na PSG aende Ufaransa!
Eric Buyanza
February 13, 2024
Share :
TETESI ZA SOKA
Kiungo wa kati wa Manchester City na Ureno Bernardo Silva, anawindwa na klabu ya Paris St-Germain ya Ufaransa.
Mabingwa hao wa Ufaransa wako tayari kulipa dau la Pauni milioni 51 kwa mchezaji huyo mwenye miaka 29.