Bertha wa PMTV ateuliwa kuwa MCO wa TAF
Sisti Herman
April 17, 2026
Share :

Mtangazaji mahiri wa michezo kutoka PM TV, Bertha Mswaga, ametangazwa rasmi na @tanzaniaarchery Federation kuwa Afisa Habari wa shirikisho hilo.
Shirikisho hilo linalojihusisha na michezo ya urushaji wa Mishale inayofanyika sana kwenye mataifa ya nje ya Nchi ikiwa kwa ukanda Afrika ni nchi tano tu zinazoshiriki
Uteuzi huo umefanywa leo Shirikisho hilo ambalo lipo kwenye usimamizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT).
Kila la kheri @therealbertha2





