pmbet

Biden awasili Afrika kwa mara ya kwanza kwenye ziara ya kikazi tangu awe Rais wa Marekani.

Joyce Shedrack

December 3, 2024
Share :

Rais wa Marekani Joe Biden amefanya ziara yake ya kwanza barani Afrika ikiwa amebakiza muda mchache wa kusalia madarakani wakati akisubiri kumpisha Rais Mteule Donald Trump atakayeapishwa mwezi Januari.

Rais huyo wa Marekani amefanya ziara ya kikazi nchini Angola na tayari amewasili katika Jiji la Luanda nchini Angola huku akitazamiwa kukutana na rais wa taifa hilo, Joao Lourenco leo Jumanne. 

 

Biden anatarajia kuzungumzia mkopo wa Marekani kwa mradi wa Reli mpya ya kilomita elfu moja na mia tatu pamoja na Rais wa Angola Joao Lourenco.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet