pmbet

Bilionea mwingine atangaza kufanya utalii na uchunguzi ilipo Titanic

Sisti Herman

May 29, 2024
Share :

Ukiwa umepita mwaka mmoja tu tangu kupotea kwa 'Submarine' za Ocean Gate zilizokuwa na watu watano wakiwamo mabilionea ambazo hufanya safari ya kina kirefu chini ya bahari ambazo zilikuwa zimefika usawa wa yalipo mabaki ya meli ya Titanic, Bilionea mwingine raia wa Marekani Larry Connor ametangaza kuanza safari nyingine.

Bilionea huyo Ohio Marekani amebainisha kuwa atatumia dola za kimarekani milioni 20 (zaidi ya bilioni 52 za Tanzania) kwaajili ya safari hiyo ambayo ina muktadha wa utalii na uchunguzi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet