Binti atengeneza chupi yenye Camera ili kuzuia ubakaji
Eric Buyanza
April 29, 2024
Share :
Mwaka 2018 Binti mwenye asili ya kihindi aliyefahamika kwa jina la Sinu Kumari, kwa ubunifu wake alifanikiwa kutengeneza kinga ya kuzuia ubakaji.
Binti huyo alitengeneza chupi yenye kufuli ya kielektroniki, camera pamoja na kifaa cha GPRS.
Alipohojiwa sababu za kutenengeza chupi hiyo akasema maneno hayaaa...."Wanaume hawawezi kuacha kubaka wanawake"