pmbet

BMT haijapokea barua yoyote ya timu kugomea michezo 2 ya mwisho

Eric Buyanza

May 30, 2025
Share :

Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Kupitia kwa Katibu Mkuu Neema Msitha wakati anazungumza na Kipindi cha Crown Sports, 92.1 Crown FM, amesema hawajapokea barua wala nakala yoyote ya timu ya Ligi Kuu ya NBC kugomea michezo miwili ya mwisho kwenye Ligi kuu ya NBC.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet