pmbet

BMT Yamkabidhi Simbu Milioni 20 zawadi ya kuibuka Bingwa wa Dunia.

Joyce Shedrack

September 27, 2025
Share :

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 Bingwa wa Dunia wa mbio za Marathoni za KM 42, Alphonce Felix Simbu zilizofanyika Tokyo nchini Japan ikiwa ni zawadi kutoka kwa Baraza la Michezo la Taifa (BMT).

Simbu amekabidhiwa zawadi hiyo katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Kibo uliopo Hoteli ya Hyatt Regency jIjini Dar Es Salaam

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet