pmbet

Bocco avunja rekodi ya Mmachinga, awa mfungaji bora wa muda wote ligi kuu

Sisti Herman

December 17, 2023
Share :

Baada ya kufunga bao la tatu la Simba kwenye ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar, John Bocco sasa anavunja rasmi rekodi ya mfungaji bora wa muda wote wa ligi kuu iliyokua inashikiliwa na mshambuliaji wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa Mohammed Hussein “Mmachinga” alikuwa na mabao 153 kuanzia 1993-2005.

 

Bao hilo la pili la Bocco msimu huu linamfanya kuwa mchezaji pekee kucheza misimu 16 mfululizo kuanzia msimu wa 2008-2009 huku akifunga kila msimu ambapo hadi sasa amefunga mabao 154, 84 akiwa na Azam Fc na 70 aliyofungia Simba hadi sasa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet