pmbet

Bondia adai anamjua aliyemuua Tupac

Sisti Herman

March 14, 2024
Share :

Bondia wa ngumi za kulipwa na michezo ya mapigano mchanganyiko nchini Marekani Ryan Garcia amedai kuwa anamjua mtu aliyehusika katika mauaji ya kifo cha rapa Tupac Shakur na anaweza kuthibitisha.

Kupitia ukurasa wake wa X alichapisha ujumbe ambao ulizua mjadala kwa wadau mbalimbali, ambapo ujumbe huo ulikuwa ukieleza kuwa anamfahamu nani aliyemuua  Tupac lakini watu wengi wanaweza kujibu hamjui huku akiweka wazi kuwa anaweza kuthibitisha hilo.

Ikumbukwe kuwa  Tupac alifariki  Septemba 13, mwaka 1996 akiwa na umri wa miaka 25 baada ya kupigwa risasi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet