Bruno Fernandes ashinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya Uingereza.
Joyce Shedrack
May 23, 2026
Share :
Rasmi Mshambuliaji wa Manchester United raia wa Ureno Bruno Fernandes ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2025/26.
Bruno ambaye amewabwaga wachezaji wengine Declan Rice,Haaland,David Raya na Morgan Gibbs-White amefunga jumla ya mabao 8 huku akitoa pasi 20 za magoli katika mechi 34 alizocheza.





